WORLD HEALTH DAY 2022

Wakati dunia inaadhimisha siku ya afya duniani Arise and Shine Foundation inaungana na wadau wengine tukisema tetea afya ya mtoto wa kike kwa kupinga ukatili wa kijinsia.